Majuto Ngozi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 211
- 50
Salaaaam ndugu zangu wa Mtongani,
Naandika haya ili kuwatoa wasiwasi kwakuwa nimepokea simu nyingi na pia nilikutana na watu wengi, Watu hao huwa wananiuliza kama kweli nimejitoa katika kinyang'anyilo cha Kugombea Udiwani katika Kata ya Mtongani?
Najibu kuwa hakuna kitu kama hicho mimi bado mgombea wa Udiwani Kata ya Mtongani, siwezi kujitoa kwakuwa kuna sauti moyoni mwangu ikinisihi niwatumikie watu wa Mtongani na kamwe sitorudi nyuma, hayo ni maneno ya wavuta machizi na bangi flani ambao baada kura ganja hukimbilia kwenye kahawa ili waweze kusukumia moshi wa ganja, sio hayo tu pia baada ya kulewa kilevi hicho kilicholaaniwa na Mungu pamoja na Serikali huzusha kuwa mimi huwa naenda kila asubuhi kwa mgombea wa ccm, Lakini watu hao wamesahau kuwa uchamungu na bangi na unafki ni kinyume na Mungu, naomba muwasamehe kwa kuwa wengine walishawahi kukimbia mgambo au kwa lugha ya vijana minara,
siasa mufirisi
Ahsanteni nawatakia jioni njema