Kimahesabu haiwezekani kwake kupata mimba siku tatu baada ya kumaliza MP kwa kuzingatia mzunguko wake wa siku 28. Kibailojia(kwa nadra sana) inawezekana.
huwa inaweza kutokea pia kwan siku 3 baada ya bleed plus zile siku anazobleed km n 4 au 5 au 6 unaweza kukuta siku zmefka 9 au zaid so bado anaweza kushka ujauzito.
Nadhani inawezekana..! kama mayai mawili yalikuwa fertilised katika mzunguko mmoja lakini kwa kupishana days za fertilisation, moja likapasuka na yeye kupata bleed yake na hilo jingine likakutana na sperms na mimba kutungwa