Mazee naombeni ushauri wenu: nilikuwa na demu hapo kabla(tumeshatengana) baada ya kutengana akawa ananipigia sometimes kuniambia kuwa bado ananipenda ananihitaji ila mi nikawa namtolea nje so nashangaa leo kanipigia simu akidai ana mimba tena yangu, lakini mimi siioni hiyo mimba! inawezekanaje mtu kudai ana mimba baada ya kuachana kwa miezi 5? so confused! au ni hila za kuninasa tu?! ushauri: nifanyeje?
Pole kwa kufanya uasherati kwa muda huo wote! Umepata mwingine wa kufanya naye uasherati au mtaoana kabisa?
Nikajiswali tu hivi wanaume huwa inawachukua muda gani baada ya kuacha na kuwa na mwingine? Miezi mitano naona kama ni michache sana!
Mkuu are you sure you are so clean? I mean hujawahi kufanya huo unaouita uasherati? Hebu kama hujawahi inama chukua jiwe umtupie!
Hivi kuna tofauti gani kati ya uasherati na uzinzi.
haiwezekani akwambie mimba yako wakati yeye ndio ameibeba, kama hataki mwambie akupe, wanawake wajanja sana siku hizi usipokuwa makini unalea watoto wa watu kila siku