Mimba??

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Mazee naombeni ushauri wenu: nilikuwa na demu hapo kabla(tumeshatengana) baada ya kutengana akawa ananipigia sometimes kuniambia kuwa bado ananipenda ananihitaji ila mi nikawa namtolea nje so nashangaa leo kanipigia simu akidai ana mimba tena yangu, lakini mimi siioni hiyo mimba! inawezekanaje mtu kudai ana mimba baada ya kuachana kwa miezi 5? so confused! au ni hila za kuninasa tu?! ushauri: nifanyeje?
 
Muulize ina miezi mingapi hiyo mimba? na je wewe+yeye mnajua mara ya mwisho mlikutana kimwili lini?Bila protection? Hiyo itasaidia incase anayodai huyo bibie ni kweli..
Vinginevyo naona anatingisha kiberiti tu aone kina njiti au kitupu!..hope umenielewa.
 
Mazee naombeni ushauri wenu: nilikuwa na demu hapo kabla(tumeshatengana) baada ya kutengana akawa ananipigia sometimes kuniambia kuwa bado ananipenda ananihitaji ila mi nikawa namtolea nje so nashangaa leo kanipigia simu akidai ana mimba tena yangu, lakini mimi siioni hiyo mimba! inawezekanaje mtu kudai ana mimba baada ya kuachana kwa miezi 5? so confused! au ni hila za kuninasa tu?! ushauri: nifanyeje?

...wewe bado unampenda?

...iwapo hiyo Mimba ina miezi mitano utaikubali?

...Jihadhari, usije lea mimba na mtoto asiye wako. Maisha ya mapenzi yanaanzia baina yenu wazazi kisha yanageukia kwa hicho kiumbe mlichokileta duniani. Kinyume na hapo ni Usanii,...

Kama atakushawishi nawe kushawishika hiyo mimba ni yako kweli, subiria mtoto atapozaliwa ili mkapime DNA. Usithubutu wala kudanganyika akisema eti hawezi kuzaa nje ya ndoa, yaani lazima muoane kabla mtoto hajazaliwa.

Ni Mtego huo!
 
Pole kwa kufanya uasherati kwa muda huo wote! Umepata mwingine wa kufanya naye uasherati au mtaoana kabisa?
 
Nikajiswali tu hivi wanaume huwa inawachukua muda gani baada ya kuacha na kuwa na mwingine? Miezi mitano naona kama ni michache sana!

Uliza kwanza umri wa mimba then utajua ni yako au la (usiishie kuuliza tu jaribu kukutana naye umkague kwa macho- nenda na huyo mkeo mtarajiwa ili usijeangukia kwenye vishawishi)
 
Pole kwa kufanya uasherati kwa muda huo wote! Umepata mwingine wa kufanya naye uasherati au mtaoana kabisa?

Mkuu are you sure you are so clean? I mean hujawahi kufanya huo unaouita uasherati? Hebu kama hujawahi inama chukua jiwe umtupie!

Huyu anahitaji ushauri tu namna ya ku move on!
 
Nikajiswali tu hivi wanaume huwa inawachukua muda gani baada ya kuacha na kuwa na mwingine? Miezi mitano naona kama ni michache sana!

Wakati anaacha huwa anakuwa alishapata mwingine tayari, kwa hiyo ni kama kuhama kutoka kwa Miss X anakwenda kwa Ms Y. Labda kama ameachwa, ndiyo anaweza kukaa muda mrefu wakati akiendelea na mawindo mapya.
 
Mkuu are you sure you are so clean? I mean hujawahi kufanya huo unaouita uasherati? Hebu kama hujawahi inama chukua jiwe umtupie!

Hivi kuna tofauti gani kati ya uasherati na uzinzi.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya uasherati na uzinzi.

Mkuu hata mie huwa vinanichanganya but nahisi uasherati ni kule kutoka nje ya ndoa-yaani mhusika anakuwa ameoa but anafanya nje na uzinzi ni kwa wale wanaokutana wakiwa hawajafunga ndoa kama sikosei- yaani wahusika hawana ndoa commitment!
 
haiwezekani akwambie mimba yako wakati yeye ndio ameibeba, kama hataki mwambie akupe, wanawake wajanja sana siku hizi usipokuwa makini unalea watoto wa watu kila siku
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom