Hivi kuna mimba kweli? Maana kuna picha niliona kwa shogaye sinta hilo tumbo ni kubwa kuliko umri wa mimba isije ikawa kiini macho. Maana tumbo mara lionekane mara lipotee hata sielewi
Yeye anafanya yake ukifatilia
1.utakuta wewe ndie uli-mfollow insta
2.utakuta ww ndie ulieomba urafiki FB
3. Ujifatilia utakuta wewe ndie unaemfatilia ukikuta habari yake sie yeye anatangaza utakuta waandishi wameandika na hawakatazwi kufanya hivyo' ukija JF ukikuta thread inamuhusu we katiza tu au hujui kuignore kitu au mtu' fanya yako we mwache na yake-muignore