Bora umeuliza maana wengi hamjui...ni mavazi anayovaaaa, na leo karusha picha kavaa nyeusi inaonekana ni maternity dress ukiiangalia chini ya tumbo ilivyo na marinda kupanda juu. sasa rangi nyeusi ufanya miujiza milini na anaapata atu kama nyie msio na aibu kutwa kumtungia uzushi na maneno.
ila kwa yeyote anayeombea asizae basi limrudie....
aaadaku wengi insta badala ya kuuliza au kusubiri arushe updates wanamtungia mambo mia kidogo...anawapelekesha she is too much, smart lady...