Mara nyingine ni abnormality kwenye hizo tubes lakin cause kubwa ni kwa mama kuugua mara kwa mara magonjwa ya zinaa au augue afu astibiwe kwwa mda mrefu pia yaeza kuwa cilia immobility kwenye fallopian tubes ambazo hizi cillia ndo hulisukuma yai kutoka kwenye ampulla kwenda kwenye mji wa uzazi