Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,798 Reaction score 57,310 Feb 14, 2024 #81 Mwl.RCT said: πβ Click to expand... Wakati mwingine huwa tunaangalia faida ya dakika 5 bila kufanya tathmini ya athari za miaka 20 ijayo. Wanaume tusikubali kuongozwa na kichwa cha Chini, maana Kuna Wanawake hutegea mimba kinyemela. Kuliko kumpa mimba isiyopangwa bora uvae Kondomu
Mwl.RCT said: πβ Click to expand... Wakati mwingine huwa tunaangalia faida ya dakika 5 bila kufanya tathmini ya athari za miaka 20 ijayo. Wanaume tusikubali kuongozwa na kichwa cha Chini, maana Kuna Wanawake hutegea mimba kinyemela. Kuliko kumpa mimba isiyopangwa bora uvae Kondomu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,266 Reaction score 108,257 Feb 14, 2024 #82 Mrs Besyige said: oh yeahπ Click to expand... Unapeeendaaaaa π
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,210 Reaction score 20,954 Feb 14, 2024 #83 Priscilla priscon said: Habari zenu? Nimevurugwa Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo? Click to expand... Jf kichaka unaweza Kuta mtoa mada ni dume.
Priscilla priscon said: Habari zenu? Nimevurugwa Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo? Click to expand... Jf kichaka unaweza Kuta mtoa mada ni dume.
Mrs Besyige JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 1,040 Reaction score 2,933 Feb 14, 2024 #84 Watu8 said: Unapeeendaaaaa π Click to expand... laha xana
Mrs Besyige JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 1,040 Reaction score 2,933 Feb 14, 2024 #85 Grahams said: Kuna Sayansi Mwanaume akiongeza kidogo wakati huo anaweza kumfanya Mwanamke awehuke kabisa na kusahau Siku zake za hatari π Bora tumezeeka sasaπ€ Click to expand... π·π·π·
Grahams said: Kuna Sayansi Mwanaume akiongeza kidogo wakati huo anaweza kumfanya Mwanamke awehuke kabisa na kusahau Siku zake za hatari π Bora tumezeeka sasaπ€ Click to expand... π·π·π·
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,266 Reaction score 108,257 Feb 14, 2024 #86 Mrs Besyige said: laha xana Click to expand... Wewe utakuwa ndiye unayepiga roba ya miguu kama mzee mwenzangu Grahams alivyoandika hapo juu π
Mrs Besyige said: laha xana Click to expand... Wewe utakuwa ndiye unayepiga roba ya miguu kama mzee mwenzangu Grahams alivyoandika hapo juu π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,798 Reaction score 57,310 Feb 14, 2024 #87 Watu8 said: Wewe utakuwa ndiye unayepiga roba ya miguu kama mzee mwenzangu Grahams alivyoandika hapo juu π Click to expand... Huyu bila shaka atakuwa mmoja waoπ€ Nakumbuka miaka fulani ya nyuma niliwahi kukutana na Binti aliyenifanyia hivyo, isingekuwa kutumia Uzoefu wa Umri, haki ya nani ningekuwa na Mtoto wa Uzeeni saiviπ
Watu8 said: Wewe utakuwa ndiye unayepiga roba ya miguu kama mzee mwenzangu Grahams alivyoandika hapo juu π Click to expand... Huyu bila shaka atakuwa mmoja waoπ€ Nakumbuka miaka fulani ya nyuma niliwahi kukutana na Binti aliyenifanyia hivyo, isingekuwa kutumia Uzoefu wa Umri, haki ya nani ningekuwa na Mtoto wa Uzeeni saiviπ