MillardAyo vs SkyWalker

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
2,309
Reaction score
2,131
Hawa ni watangazaji nguli hapa Tanzania.Tatizo lao wanafanana sauti zao na namna ya kutangaza.Ni ngumu sana kutofautisha "jingle" iliyotengenezwa na MillardAyo au Skywalker-Fredrick Bundala.

My TAKE;
Najua SkyWalker kwa sasa ni Freelance Radio Personnel basi MillardAyo angemwalika sikumoja kwenye kipindi chake cha Amplifaya ili angalau tuweze kuona utofauti kidogo wa sauti hususani wanapotangaza pamoja.
 
Skywalker yupo kitambo ila wengi hawamjui zaidi ya wale ambao wapo kwenye cycle ya entertainment. Ni muandishi/mtangazaji mzuri

Millard Ayo yupo vizuri anajitahidi sana
 
Skywalker weka mbali na watoto, Aisee.
Anatisha mbaya but Millard Ayo nae anajitahidi.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wote wako vizuri ila wametofautiana viwango.

Sky ni Best quality
Millard ni High Best quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…