First of all Joketi wa kawaida kupita maelezo!
Second one kama ni kweli amesign such a cotract/endorsement hakyanani hatutalala usingizi mnono kwani kelele zitakuwa kila sehemu
Kuna mtu alijinunulia BMW ikawa ni heka heka itakuwa 8 bil

Unamfahamu Constantine Magavilla wa Airtel? Yule jamaa watu wanadai ni mchele mchele.
Yeye ni ndugu wa tumbo moja na Jokate, yeye ndio yuko nyuma ya kitu kama ilivyokuwa nywele.
Costa ni mpiganaji lakini hupenda kukaa nyuma na kutanguliza wengine katika michongo kama vile akina AY ambao wengine wanampiga.
Nadhani sasa ameamini Mdogo wake amekua na kuamua kumtanguliza mbele.
Kuhusu picha, nadhani kwa sasa Wabongo tuko kwenye hatua mbaya, yaani watu wakipiga Picha tu kosa? Mbona Le Mutuz anapiga Picha na watu kila siku na hatusemi?!
Ova
Wakawaida kwakua unamjua kupitia picha tu..jokate ni binti wa kingoni msomi mzuri na mrembo..utakua unakosea sana kumfananosha Jo na yule mwenye makalio yanayodondoka anaeshindia bia za Serengeti triple 7..

Ha ha ha!!Kiukweli jojo ni mzuri bwana,plus shule ndo kabsaaa!!Anajituma na ni mchapakazi,sema tatizo anagawa kwa rika zote,kwenye ufuska ndo atulie tu,everybody has her/his past,zaidi nawatakia mafanikio mema!!Wakawaida kwakua unamjua kupitia picha tu..jokate ni binti wa kingoni msomi mzuri na mrembo..utakua unakosea sana kumfananosha Jo na yule mwenye makalio yanayodondoka anaeshindia bia za Serengeti triple 7..
Bora umeongea wew, mm wakat nasoma hii thread nikajua chin labda ntakuta pcha za kimahaba kbaooo kumbe hizo tu walzopga juz na wakapost wenyew!