Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Status
Not open for further replies.
Kuiga mambo mazuri sio mbaya ndo vizuri ndo inavyotakiwa au ulitaka Millard ayo akuige wewe?
 
Ngoja wachambuzi wa masuala ya watangazaji wafike hapa, waje watoe athari za kuondoka Milard ayo!
 
Ni maisha yke binafisi anauamzi wa kuendelea na kazi au kuacha hana madhara kwa taifa....
 
we kama unamchukia millard ayo una matatizo makubwa sana
 
Watanzania kwa uongo tunaongoza...sasa umeandika hapo ukidhani watu hatujui kusoma au? Umedanganya kwenye bio yake katoa neno clouds kweli? Umeenda insta acc yake ukahakikisha?

Nenda ukaangalie upya acha kukurupuka...kule yuko kazin na hayuko alone alienda na B12
 
And I think itakuwa likizo...mbona hata mtangazaji yule wakike clouds tv na yy yupo Dubai...
 
Hii screenshot nimeichukua hivi punde:



In addition, ni Broklyn au umemaanisha Brooklyn? Ikiwa ni Brooklyn basi hiyo is just one of New York City Municipal, kwahiyo is just a location! Kwahiyo possibly, Instagram ilikuwa ime-locate location yake kwa wakati huo; kitu ambacho hata ukiwa Dar es salaam, location yako inaweza kuwa recorded!
 



Us kwa english ipi aliyo nayo? Donald atamrudisha tu.. Kule us atabaki Mange

Wivu mbaya sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…