Nafikiri huyo mtoto ungemuuliza angekujibu maswali mengi sana mengine tunashindwa kuyajibu maana maadili hayaruhusuWakuu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, Naomba kwenda kwenye mada hapo juu kuna mtoto wa ndugu yangu alienda Jkt ni mhitimu wa form 6, sasa kaniambia amemua kwenda kuchukua hiyo course ya military science najuwa kuwa ni kazi za jeshini.Je!swali langu hii course akihitimu anaingia kwenye ngazi ya cheo gani cha kijeshi?
Naombeni kupata maelezo yenu wadau naimani mko hapa mlioko kwenye idara hii, sisi migambo wa jiji haya mambo ni shida isije kuwa nimelishwa matango pori na dogo.
Duuuh alikuwa kikosi jeshi gani?? Anataka kwenda kusoma kitu ambacho hakifahamu??Tatizo yeye nae haelewi mkuu nimejaribu kumhoji sana ila ni bado hawezi fafanunua
Hapana, hii kozi inatolewa kwa ushirikiano na vyuo vya kiraia ambavyo ni Mandela varsity na chuo cha uhasibu Arusha.Military science hiii kozi haiwahusu wanajeshi pekee???
Ahsante kwa mchango mkuu
Kila mtu husoma hyo kozi Ni wew tuMilitary science hiii kozi haiwahusu wanajeshi pekee???
Wewe umesoma?Kila mtu husoma hyo kozi Ni wew tu
Kuna mtu anasoma hyo mamboWewe umesoma?
Hapo ndipo matatizo yanapoanzia katika nchi yetu pendwa. Yaani mtu anasomea kitu asichokijua? Hii ipo sawa kweli, hawa si ndio wanaojipenyeza majeshini kwaajiri ya fedha tu bila uzarendo na nia ya kweli ya kulitumikia taifa? Kazi tunayo.Tatizo yeye nae haelewi mkuu nimejaribu kumhoji sana ila ni bado hawezi fafanunua