Milipuko Tabata

Hapo mchawi ni bima, kama hakuna bima ni changamoto kubwa
 
Hivi sheria inaruhusu kuweka hii mitungi ya gesi ktk sehemu ambayo ni ventilated?
Una maana gani uliposema sheria inaruhusu kuweka mitungi ya gas sehemu ambayo ni ventilated? Sababu kwa usalama mitungi inapaswa iifadhiwe sehemu ambayo yenye hewa 'ventilated'
 
Una maana gani uliposema sheria inaruhusu kuweka mitungi ya gas sehemu ambayo ni ventilated? Sababu kwa usalama mitungi inapaswa iifadhiwe sehemu ambayo yenye hewa 'ventilated'
Ni makosa ya kiuandishi pointi yangu ni kwamba sehemu ambayo ni non ventilated
 
Duuh hatari, naogopa hata huu mtungi nnaoishi nao humu ndani, hivi ni jinsi gani ya kuiweka salama wakuu?
Ukiweka mfumi wa gasi kwa ajiri ya kupikia weka pia mfumo wa uzimaji moto wa majanga kwa dharula eneo hili hilo kama nijikoni au wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…