Milipuko Tabata

Milipuko Tabata

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,258
Reaction score
7,748
Jamani usiku huu wa saa saba kasoro imesikika milipuko zaidi ya mara tano.

Sijui kuna tukio gani maana milipuko sio ya kawaida na sijazoea kusikia milipuko ya hivi
 
Mlipuko umetokea maeneo ya tabata mawenzi,nasikia kuna duka limeungua kulikuwa na mitungi ya gas
Aisee huwezi kuamini nyumba zilikua zinatikisika huku kwetu. Gas ni noma
 
Hivi sheria inaruhusu kuweka hii mitungi ya gesi ktk sehemu ambayo ni non ventilated?
 
Back
Top Bottom