Mkishakubali kugawanywa na mabeberu basi ujue mmekwisha. Kwa mashariki ya kati, Marekani anatumia mwanya wa USHIA na USUNI kuwagawa waislamu and then anawafitinisha against one another.
Dini ya kiislamu ina umri wa miaka takribani 1400 lakini uhasama uliopo kati ya WASUNI na WASHIA ni mkubwa mno na hakuna aliyemudu kuumaliza. KINARA wa dhehebu la WASHIA ni IRAN na KINARA wa dhehebu la WASUNI ni SAUDI ARABIA.
Kundi la ISIS ambalo linaegemea ideology ya dhehebu la SUNI lilianzishwa na Marekani kwa madhumuni ya ku-destabize IRAQ(After SADAM removal baada ya Nour Al Maliki ambaye ni Mshia kuonyesha muelekeo mzuri wa kuirudisha Iraq kwenye mstari na kuanza kiburi cha kutoihitaji Marekani ndani ya Iraq). Kundi hili pia ndio nguzo kuu ya kuuangusha utawala wa ASAD nchini Syria.
Kwahiyo, UDINI na UKABILA ni vitu vya kukimbia kabisa mkitaka TANZANIA yetu isitawi.