Kwa mujibu wa gazeti la ----- kwa siku 84-90 ambazo bunge maalum la katiba litakaa dodoma samweli sitta anategemea kulipwa tsh 150 na ndio maana analazimisha bunge liendelee bila mwaka wa pande 2 za ccm na UKAWA.
ukimwangalia sitta kwa haraka unaweza fikiria ana uchungu wa kuwaletea watanzania katiba kumbe anataka kujaza tumbo lake