Sakina mkuu apo nilikuepo si wajinga flani ivi wamelewa ss sijui mmja akamsoma mwenzake akamwonesha mguu wa kuku na jamaa kumbe nae anayo ziliruka kadhaa na mm bila woga nikatoka nikawa naelekea seheme nipopaki kiusafiri kangu.. Mi watu iko chini imejilaza inaogopa risasi.. Me nasema izi sio kam za kule dar hazimfati mtu.. Zinapeperuka tuLast 3 weeks kuna risasi ziliskika around sakina na zikawa verified that's why nimehusisha na hilo tukio.
Hizi comments zingine muwe na hurumaFATAKI ZA WAHINDI HIZO, HII NDO SHIDA YA KUAMIA ARUSHA KUTOKA BIHARAMULO
I was born in Arusha bro, Sina undugu na wahindi...mambo ya biharamulo yanatoka wapi mkuu?
Hizi comments zingine muwe na huruma
Nilikua chemba mkuu, nkajua kimenuka ujue cyo wote tunakaa uswahilini kuna wengine hua hatuskii hiyo makitu mara kwa mara
Jana nilikua TULIA house mitaa ya white rose nilivyoskia mlio nkajua jamaa wamenisomea ramani wanakuja kubeba kamzigo kangu...cjalala yaan xaiv ndo nmekumbuka wahindi wako kwenye diwali.Uswahilini ndo hakuna kabisa milio ya risasi! Kama wewe ni mkaaji maeneo yanayoeleka yasiyo uswahilini ni: Njiro, Sakina, Uzunguni, may be Moshono, au hata Kisongo, na huko risasi ndo zaweza kuwa kawaida
heheheFuata sauti ya hiyo milio ujue inatokea wapi.
Kinjekitile Ngwale..Hivi ukikumbatia rozari na bibilia risasi haitakupata kumbe ? Mimi najua kuwa neno la Mungu linapaswa likae ndani yako kwa kusoma bibilia na kutenda kama mungu anyotutaka katika neno lake. Kukumbatia bibilia ni bure bila kusoma na kuelewa kilichoandikwa humo ndani