Bwana Ogiro nimejaribu sana kufwatilia matangazo yako yanafanana kila siku japo unabadilisha kichwa cha habari tuuu. na yamekuwa mengi sana najiuliza huyu jmaaa anaviwanja vingapi hama kashadalalia vingapi tuyaache hayo. nisaidie kitu kimoja, jibu maswali haya nadhani itakusaidua sana kupata wateja. We dalali una ofisi maalumu? 2.baadhi ya mashamba na viwanja unavyoviuza umeshaviona wewe mwenyewe? 3. ukubwa wa mashamba na viwanja unauijua? 3.bei elekezi ya kila shamba na viwanja unavyovidalalia unavijua?. bei maalewano bado ni kizungumkuti nashukuru Bwana Ogiro