Miliki kiwanja chako leo kwa 3 Mil.

Miliki kiwanja chako leo kwa 3 Mil.

Manka R

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
238
Reaction score
29
Kipande kidogo cha kujenga kinauzwa eneo magomeni.. Maelewano yapo 0766589444
 
Ukubwa wake ni kama wa 4 rooms kwa urefu
 
Watu wanatazamaa na Upana....ktk kiwanjaaa....Kina hati
 
Ukubwa wake ni kama wa 4 rooms kwa urefu

Achana mambo ya vyumba vinne, kila mtu ana saizi yake ya vyumba, pengine vyumba vinne kwako kwangu ni sawa na vyumba vitatu tu.

Weka vipimo vya mita ambavyo havibadiliki kwa yoyote.
 
Mbona husemi ni Magomeni ya wapi mkuu?Weka na vipimo vya hicho kipande cha ardhi basi ili tujue,isijekuwa unataka kuuza uchochoro!
 
Ok, labda tuseme hivi.. Ni hatua 25*11 kwa hatua za mbaba, hati kila kitu mnakabidhiana hata kwa serikali za mitaa mtapelekana before hamjakabidhiana
 
Mbona husemi ni Magomeni ya wapi mkuu?Weka na vipimo vya hicho kipande cha ardhi basi ili tujue,isijekuwa unataka kuuza uchochoro!

Nimempigia simu anasema magomeni ya kilosa kumbe.
 
Ok, labda tuseme hivi.. Ni hatua 25*11 kwa hatua za mbaba, hati kila kitu mnakabidhiana hata kwa serikali za mitaa mtapelekana before hamjakabidhiana

Hicho siyo kiwanja cha nyumba ni kwa ajili ya banda la kuku! Hicho ukijenga nyumba Mkuu si kinajaa mpaka kinakosa pa kupumulia? Mjini mna kazi!
 
Hivi kama ni kiwanja chako utashindwaje kusema data zote? inakuwa kama huna uhakika! toa data zote, kiwanja kimepimwa, magomeni ya wapi? wewe ni mmiliki au dalali? siyo unatwambia eti kama viumba 4, na magari tutapaki wapi? au wewe mtazamo wako ni viumba 4 tu, hakuna hata kasehemu kapumzikia? unatoa data nusu susu!!!!

chukua time
 
Magomeni hiyo ni ya Mtwara ama Bagamoyo, Magomeni ya Dar hakuna kipande cha ardhi cha bei hiyo.
 
Anaongeza idadi ya Post alizoanzisha........Anajaza Sever tu...........
 
Hivi kama ni kiwanja chako utashindwaje kusema data zote? inakuwa kama huna uhakika! toa data zote, kiwanja kimepimwa, magomeni ya wapi? wewe ni mmiliki au dalali? siyo unatwambia eti kama viumba 4, na magari tutapaki wapi? au wewe mtazamo wako ni viumba 4 tu, hakuna hata kasehemu kapumzikia? unatoa data nusu susu!!!!

chukua time

Choo kwa Jirani!!
 
Nimeweka hii post kwa walioko serios tu wampigie huyo baba mwenye hiyo namba.. Ukubwa ndo kama huo kama unataka kupumzika au kupaki gari hapatakufaa na ndio maana bei iko hivyo... Ni magomeni somanga, kituo baada ya fundikira
 
Nimeipenda hiyo,mkuu uenda choo kwa jirani kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom