Car4Sale Miliki Gari aina ya Toyota Corola kwa Tshs million 3.5 tu

patrickcharles

JF-Expert Member
May 22, 2013
534
285
Habari Great Thinkers,
Kama uzi unavyojieleza hapo juu, Gari ipo katika hari nzuri (inatembea). Mimi ndo mmiliki wake halali napenda kuwahakikishia kuwa haina tatizo kabisa.

Sababu ya kuiuza: nimeamua kuiuza ili niongezee mtaji kuna project ya ufugaji nataka kufanya. Hii nikutokana na PPF kuzuia michango yangu.
Picha: Zifuatazo ni picha halisi za gari langu.

Nipo Arusha mjini.
Kwa walio serious piga namba zifuatazo kwa Maelezo zaidi, 0658 455218 au 0755 455218.
Karibuni sana.

facb48bbc4f15f6027dc8275976360e6.jpg
ac00ebe3f831950b1015684b9ba6d877.jpg
3d8f31293c71983610fd0f69203fb08f.jpg
c9e70c44188a969b8fe24ac23416434f.jpg
 
Back
Top Bottom