kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 418
Sorry mkuu Hilo ni kosa la kiuandishi tuMkuu, nataka kujua maana ya 'Mopo'!
Mungu akutangulie mkuunilikia na plan ya kufungua duka kama hilo aloo umenipa muongozo mzur kwa kuanzia asante kaka
Usijali nitafanya hivyoMkuu naomba urudie tena kupiga picha kesho juani, naona kagiza kamedhoofisha picha
Je hii ni stock ya bidhaa zilizouzwa au ambazo ziko dukani?Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada
Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia
1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa
UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji
Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata
JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI
1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,
Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida
Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=
NOTE,
Kamwe usichanganye mapenzi na kazi yako utaharibu utashindwa kusimama kwenye misimamo yako kama boss au mtoa huduma kwa wateja wako
Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,
Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart
Usikae muda mrefu bila kuchunguza mwenendo wa biashara yako hasa kupiga stock
Nimeambatanisha namna ya kuchora daftari lako na namna ya kuingiza data zako
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile appView attachment 2491990
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kiukweli swala la mtaji kwenye biashara ya duka inatofautiana,kwa wastani unatakiwa uwe na kiasi gan(mtaji)ili kuanzisha duka ambalo ni la kawaida tu...natanguliza shukrani
Hiyo siyo stockJe hii ni stock ya bidhaa zilizouzwa au ambazo ziko dukani?
Unalipia manispaa nini?Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada
Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia
1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa
UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji
Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata
JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI
1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,
Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida
Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=
NOTE,
Kamwe usichanganye mapenzi na kazi yako utaharibu utashindwa kusimama kwenye misimamo yako kama boss au mtoa huduma kwa wateja wako
Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,
Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart
Usikae muda mrefu bila kuchunguza mwenendo wa biashara yako hasa kupiga stock
Nimeambatanisha namna ya kuchora daftari lako na namna ya kuingiza data zako
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile appView attachment 2491990
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Jambo jema sana umefanya.Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Mafuta ya kupikiaAsante kwa Madini haya muhimu sana. Mimi panapo majaliwa yake Mwenyezi Mungu nafungua 01 February mwaka huu. Samahani sana eneo limechangamka(kiasi) muda wa asubuhi na jioni . Wakazi wake ni watu wakipato Cha chini(wengi) na Kati(wachache).
Tafadhali sana kwa Uzoefu wako ni bidhaaa gani zinatoka sana na piga ua lazima uwe nazo. TAFADHALI SANA MSAADA WAKO MUHIMU