Miliki ardhi kibaha inauzwa

Miliki ardhi kibaha inauzwa

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
NI ENEO LA KIBAHA KUPITA KIBAHA MJINI SEHEMU INAITWA VISIGA, NI KILOMETA NNE KUTOKA MOROGORO ROAD KUINGIA SEHEMU HIYO YA VISIGA KUINGIA SHAMBA NA BARABARA HIYO INATOKEA BAGAMOYO NA TEGETA, KUNAFAA KUJENGA NA SHUGHULI ZA UFUGAJI NA SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZINAFANYIKA HUKO. ENEO LINA UKUBWA HEKA MOJA KASORO ROBO HEKA KUFIKA HEKA KAMILI BEI NI MILIONI MOJA NA NUSU 1.5/=. NA PIA IPO HEKA MOJA KAMILI KWA BEI YA SHILINGI MILIONI 2.5/= Kwa mawasiliano nami 0714 40 40 57


 
Ahsante kwa habari mkuu.
Swali: Hilo shamba ni lako au we ni dalali?
Linatambulika vema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom