Milalo kwenye TRIPLE- DECKER...

Mkuu hiyo picha inaonyesha stages za maisha, hiyo ya kwanza inaonyesha mtu akiwa single, ya pili inaonyesha mtu akiwa na Mke/Mume na ya tatu tayari matunda ya ndoa
Huu ni mtazamo wako nao unakubalika hapo kabisa!
 
Mbona miguu yote(kutoa ya mtoto) kama ya kiume..?
 
Mbona miguu yote(kutoa ya mtoto) kama ya kiume..?
Hali ya maumbile ya mtu, hebu mwambie mtu akupige picha miguu yako halafu uifanyi tathimini au uwape watu wengine waitathimini unaweza kujuta kwa nini ulifanya hivyo.
 
Mkuu hiyo picha inaonyesha stages za maisha, hiyo ya kwanza inaonyesha mtu akiwa single, ya pili inaonyesha mtu akiwa na Mke/Mume na ya tatu tayari matunda ya ndoa

Asante Kituko mimi sikuiona hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…