Ni vema waziri Wa elimu ukatembelea hii shule. Ni aibu kubwa shule inayo ongozwa na chama tawala CCM kuwa katika hali mbaya ,,,, mwanafunzi mmoja kidato cha kwanza ni fedheha,,,,,,.Hapo pana tatizo. Siamini ya kwamba chama kimeshindwa kuiendesha shule wakati chama tawala ndio serikali.