Milala secondary ya sasa

Mbunge Luswe

Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
56
Reaction score
23
Salamu wakuu.
Serikali na Chama hakiangalii shule ya secondary milala?
Mbona imepoteza hadhi kabisa.
 
Kupata watumishi wa viwanda watatoka Mbiguni? Siyo shuleni?
 
Salamu wakuu.
Serikali na Chama hakiangalii shule ya secondary milala?
Mbona imepoteza hadhi kabisa.
Mtoa maada waongelea milala ya wapi? au waongelea milala secondary iliyoko mkoa wa Katavi? ambayo miongoni mwa wakufunzi wanaofundisha chuo cha mbeya universty of science&technology(MUST) alisoma pale miaka ya nyuma kidogo?
 
ile shule tangu nipate ufahamu haijawahi kuwa na hadhi, ni mabingwa wa kuvujisha mtihani wa fm 2. fm4 ziro 60+ ni kawaida, daraja la 4 100+

hakuna shule pale, si leo wala jana
 
ile shule ni ya wazazi CCM
 
Wazawa na wakazi na wasomi kutoka mkoa wa katavi hususani wilaya ya mpanda mkuje huku mchangie maada kwa wingi pengne tunaweza kua tunautangaza mkoa wetu kiutalii mana naona kama vile umesahaulika kidogo pamoja na kutoa waziri mkuu wa awamu ya nne
 
Itakuwa hiyo
Mtoa maada waongelea milala ya wapi? au waongelea milala secondary iliyoko mkoa wa Katavi? ambayo miongoni mwa wakufunzi wanaofundisha chuo cha mbeya universty of science&technology(MUST) alisoma pale miaka ya nyuma kidogo?
 
Mkoa wetu haujasahaulika na sasa ndio kwanza unakuwa kwa kasi.!
Wazawa na wakazi na wasomi kutoka mkoa wa katavi hususani wilaya ya mpanda mkuje huku mchangie maada kwa wingi pengne tunaweza kua tunautangaza mkoa wetu kiutalii mana naona kama vile umesahaulika kidogo pamoja na kutoa waziri mkuu wa awamu ya nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…