Dunia imejaa watu wenye mila na tamaduni tofauti ila kuna baadhi ya mila/tamaduni ni za ajabu kidogo lakini kwa wengine wanaona ni za kawaida. Kwa mfano kuna kabila moja huko INDONESIA wao kila familia kila mwaka huwa inawafukua ndugu zao wote waliotangulia mbele ya haki, wanawaogesha,
wanawavalisha nguo safi na kufanya sherehe kubwa ya kumbukumbu na kuomba Baraka na mafanikio mengine kutoka kwa hawa ndugu zao.sherehe hizi hujulikana kama 'MANE'NE'. Sherehe inaendana na kula chakula kizuri, kucheza mziki na kunywa pombe.
Najua kutakuwa na MILA/TAMADUNI nyingine unazozijua za ajabuau kushangaza unaweza ukatushirikisha pia! nawakiribisha! NIMETUPIA PICHA ZAO!
Atapta tuu sisi kuna jamaa yet alienda kule kakalibishwa mezan misos kibao manyama kibao alipomaliz kula akaauliz hii nyma ya nn alajibiw ya kenge,alitaman kutapik