jaba jumah
Senior Member
- Sep 24, 2015
- 150
- 50
Unadhani kutembea kwa miguu ndio sifa? Hivi una baiskeli haina kazi hapo kwako kwa nini mwanao aende kwa mguu shule? Hayo makanisa tu yana mabasi ya kupeleka waumini kanisani na kurudi sembuse iwe CCM kuwatafutia wanachama wake usafiri wa kuhudhuria mikutano kumsikiliza mgombea wao? Huu siyo muda wa kutesana ukawa mnaongelea mabadiriko gani sasa?Mbona umesahau maccm yanavyotumia malori kubeba wahutubiwaji?? Watu hawataki longolongo,jk alikuwa anaongea zaidi ya lisaa,na istoshe kila mwisho wa mwezi × miaka 10 ili kupumbaza watu,lkn yako wapi???! Fisiem bwana
Unadhani kutembea kwa miguu ndio sifa? Hivi una baiskeli haina kazi hapo kwako kwa nini mwanao aende kwa mguu shule? Hayo makanisa tu yana mabasi ya kupeleka waumini kanisani na kurudi sembuse iwe CCM kuwatafutia wanachama wake usafiri wa kuhudhuria mikutano kumsikiliza mgombea wao? Huu siyo muda wa kutesana ukawa mnaongelea mabadiriko gani sasa?
kutokana na kile kinacho semekana ni kupaniki mikutano ya ukawa yaanza kupoteza dira mahudhurio yaanza kuwa hafifi sana kitu kinacho ashiria kuwa wananchi walio wengi wamechoshwa na baadhi ya viongozi wao kuwa wana hutubia dakika tano au tatu ishu ambayo kwao wameona kama dharau kubwa sana kwa sababu wanadai wanaacha shughuli zao mwishowe inakuwa batili,,huku baadhi ya wananchi na wanachama wakipongeza ccm na umahiri wa mgombea wao ndugu magufuli ambaye anazungumza zaid ya dakika 45 kwa umahiri na ustawi wa hali ya juu.
lakini kwa mama yako nako hataweza kupanda?Mpaka ifike October 25, EL hatoweza kupanda jukwaa kbs
Kutokana na kile kinacho semekana ni kupaniki mikutano ya UKAWA yaanza kupoteza dira mahudhurio yaanza kuwa hafifi sana kitu kinacho ashiria kuwa wananchi walio wengi wamechoshwa na baadhi ya viongozi wao kuwa wana hutubia dakika tano au tatu ishu ambayo kwao wameona kama dharau kubwa sana kwa sababu wanadai wanaacha shughuli zao mwishowe inakuwa batili,,huku baadhi ya wananchi na wanachama wakipongeza ccm na umahiri wa mgombea wao ndugu magufuli ambaye anazungumza zaid ya dakika 45 kwa umahiri na ustawi wa hali ya juu.
Hebu nipe tafsiri sahihi ya Hapa kazi tu?ntamchagua muadilifu na mchapa kazi ambaye ni dkt john pombe magufuli popote atakapokuwa kwani naamini maendeleo hayana chama
Unadhani kutembea kwa miguu ndio sifa? Hivi una baiskeli haina kazi hapo kwako kwa nini mwanao aende kwa mguu shule? Hayo makanisa tu yana mabasi ya kupeleka waumini kanisani na kurudi sembuse iwe CCM kuwatafutia wanachama wake usafiri wa kuhudhuria mikutano kumsikiliza mgombea wao? Huu siyo muda wa kutesana ukawa mnaongelea mabadiriko gani sasa?