Mikutano ya kisiasa stop Zanzibar

Hapa ndipo shughuli itakapoanza,maana CCM ruksa,wapinzani tunaogopa AMANI itavunjwa.Ni nafuu wakapewa nafasi ya kutolea hasira zao kuliko kuwanyima,Polisi wanaijua Zanzibar sidhani kama wataweka zuio la muda mrefu,
 
Haki ya Mungu CCM ikifa nachinja Ng'ombe wote sita niliopewa na babayangu siku ya harusi yangu, nafanya sherehe kubwa. Ewe mwenyezi Mungu sikia kilio na sauti yangu CCM ife kesho Amen.
 
Ondoa neno Jeshi la polisi weka Balozi Seif Ali Iddi
 
Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta watoto wa vigogo1.FILBET SUMAYE 2.BEATRICE BOMANI3.PAMELA LOWASA4.ZACHARIA KAWAWA5.SALAMA MWINYI6.RACHEL MSEKWA7.SALAMA MAHITA 8.JANE SITA9.JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI11.BLASIA W.MKAPA12.RADHIA SHEIN13.JEROME DIALO 14.LIKELE NGASONGWA 15.ANDY MAGUFULI-16.THOMAS MONGELA17.JABIR KIGODA 18.MARY MRAMBA

Mkuu mijitu mingine haifa kujadiliana nayo sisi tuwape nafasi tuwaelimishe ila ikifika adi 2015 wasipo elewa me nina anza na shule za kata ninajua jinsi gani ya kuwashawishi wana nchi wa pande fulani tuanzishe miradi na tuanze kuziuza ninajuwa lina wezekana coz ninaona kama tunaelekea kupiga kelele na punda kunywa maji


Mambo mengine ni maajabu kila nikiangalia haya majina ninajiuliza maswali mengi sana

Sasa ole wao
 

Mimi nadhani ni yale ya sikio la kufa. Hata Zamani Farao (Firauni) aliwahi kushindana na Musa ( hakutaka kuwa-release Waisraeli kutoka Misri) bila kujua Musa katumwa na Mungu. Aliendelea na ligi pamoja na Musa kumpa maonyo kutoka kwa Mungu mara kumi! Ilifikia wakati Mungu aliamua kumalizia somo kwa kushusha kipigo kwa ma-first born wote, kuanzia wa binadamu mpaka wanyama. Hapo ikabidi akubali tuu.

Sioni kama watakujaelewa hawa! .Labda na hili nalo ni la Farao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…