Gwakukaja85
Member
- Dec 21, 2012
- 17
- 12
Jamani wadau hiki ndiyo kifo cha CCM Mtwara kulikokuwa kunaaminika ndiyo ngome ya chama hicho kikongwe,nimefanikiwa kuhudhuria mikutano iliyofanyika kata ya Mnyambe,Kitangari chini ya makamu m/kiti UWT Taifa watu ni kidogo wote wazee halafu hoja ni CHADEMA,ila nimefurahishwa na risala ya kata ya Mnyambe kutaka gesi ibaki Mtwara i like it!.
Nawasihi CHADEMA kama watawashwa moto wa M4C awamu pili uanzie huku cause "nyasi zimekauka zinahitaji kiberiti",mahudhurio ya leo yamenipa taswira kuwa 2015 shughuli laini kabisa kwa CHADEMA huku kusini.