Jukwaa la mambo serious mkuu unaleta utani...
By the way hiyo siyo mikopo bali ni makopo.
Angalizo: watu wameumizwa na suala la mikopo siyo la kuletea mzaha sababu hujui unawaathiri kiasi gani kisaikolojia kwa utani wa namna hii.