katumbwalala
Member
- Jan 17, 2013
- 27
- 20
Kuna wanachuo wameondoka chuoni baada ya kukaa Toka October Hadi January na wengine wanapitia magumu Hadi sasa
Pesa ipo..mbona tunanunua magoli ya simba, yanga, taifa stars kwa 10m/goal.Watatoa wapi hela, wahuni tu hao!!! Nyinyi mhesabie tu maumivu.