Mikopo ya wafanyakazi

Mikopo ya wafanyakazi

Poshvica

Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
8
Reaction score
4
Jamani naomba kujuzwa ni benki gani inatoa mikopo kwa rate nzuri kwa wafanyakazi mbali ya stanbic na fnb? Naongelea unsecured/non-guaranteed loans...
 
Ulizia NMB au DSM Community Bank nasikia riba zao ziko chini. Ila nadhani condition lazima mshahara upitie kwao.
Jamani naomba kujuzwa ni benki gani inatoa mikopo kwa rate nzuri kwa wafanyakazi mbali ya stanbic na fnb? Naongelea unsecured/non-guaranteed loans...
 
Back
Top Bottom