Udhamini ni wa mwajiriwa ni kwamba tu anakujua na unafanya kazi sehemu husika na mshahara unaosema ni sahihi ila mwisho wa siku sababu ni wewe ndio uliyekopa basi inabidi ulipe.., usipolipa kampuni iliyokukopa itakufungulia madai na kama una mali ya kuweza kuuzwa ili ulipe deni itabidi ulipe na kama huwezi unaweza kuingia mkataba uwe unalipa kidogo kidogo mpaka pale utakapomaliza deni