Habari wana jf
Awali ya yote nipongeze jukwaa hili kwa kuendelea kutoa elimu katika maswala mbalimbali
Pili, kuna mikopo inayotolewa na kampuni mbalimbali za mikopo mitandaoni na kimsingi mikopo hii ni zaidi ya kausha damu kwani ni ya muda mfupi,mikopo midogo ila riba kubwa sana.
Nayasema haya kwa mifano kwani kuna ndugu yangu alikopa kwenye moja ya taasisi hizo na kupewa kiwango ambacho hakikuhitaji katika mikopo ya aina tatu ndani ya kampuni moja na riba kubwa
Kwa maelezo yake alikopa 24 lakini akapewa 72 kwa maana ya yiyo pesa kugawanyika mara tatu ndani ya ofisi moja na riba ikawa 48 ndani ya wiki moja.
Kilichonishangaza nikupewa pesa zaidi ya alichoomba na pili tarehe ya malipo ni siku moja kabla ya mkatba ambao yeye hakuona popote alipotakiwa kufanya hivyo.
Pili ni simu za vitisho na hata kumchafua mtu kwa ndugu na jamaa .
HOJA YANGU HAPA NI KUTAKA KUJUA YAFUATAYO KISHERIA KAMA IFUATAVYO.
1. JE NINA UWEZO WAKUFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA UVUJISHAJI WA TAARIFA ZANGU KWA MTU MWINGINE BILA IDHINI YANGU.
2. JE SERIKALI INATAMBUA HAYA NA WANACHUKUA HATUA GANI KUSAIDIA WANACHI WAKE KATIKA MANYANYASO HAYA.
3 NIOMBE KUPITIA JUKWAA HILI JAPO SIKWAUMUHIMU TUSIHARAKIE HII MIKOPO TUNADANYIA WATU KAZI NA KUDHALILISHANA NA NISHAURI HAPA TUSHIRIKIANE KUPAZA SAUTI MATAPELI HAWA WAACHE KUUMIZA WAVUJA JASHO WANAOHANGAIKA USIKU NA MCHANA KUCHUMIA MATAPELI.
ASLAAM ALYEKUM