Mikopo ya haraka na masharti nafuu

Mikopo ya haraka na masharti nafuu

AVEDIUSS

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
35
Reaction score
9
Hello unakaribishwa Enterprise finance limited(EFL), kwa huduma ya mikopo ya haraka na masharti nafuu.Tupo Dar es salaam na Arusha. kwa mawasiliano zaidi piga simu no.0763882788 au 0656862682. Email info@efl.co.tz. kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.efl.co.tz karibu sana.
 
Alezea vizuri usisubiri uulizwe maswali mengi
 
kweli mkuu aeleze kabisa hapa hapa maswali yawe ziada tu ..kwamfano toa masharti yenyewe tuyaone wote, anza kwa mwenye asset ka asiyonayo, riba na nk
 
Hawa ndo matapeli! na siku zote iyo hapo juu ni dalil ya kwanza kwa tapel... weka vitu kweupe hapahapa kwanin nikija kukopa nisiwe na maswal meng
 
Hawa ndo matapeli! na siku zote iyo hapo juu ni dalil ya kwanza kwa tapel... weka vitu kweupe hapahapa kwanin nikija kukopa nisiwe na maswal meng
Hawa jamaa kuwaita matapeli inaweza isiwe sahihi sana; wana ofisi, wana leseni, na wanaendesha biashara yao vizuri tu kwa maana hiyo,lakini matangazo yao huwa ni tofauti na kile ambacho utakutana nacho ukiwafikia ofisini kwao!
 
Back
Top Bottom