Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 567
- 925
Habari za wakati huu ndugu zangu! Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya hapa na pale katika kufanikisha malengo mbali mbali katika maisha
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Kutokana na kufanya application kadhaa na uzoefu nilio nao katika kufanya application Mimi pamoja na wadau wengine wa elimu wanao fahamu mienendo ya kufanya application za mikopo elimu ya juu ningependa / tungependa kusaidiana katika hili.
Mimi kama mmoja wa wadau wa elimu ningependa kutoa mda/kipindi hiki kwa wadau wote wanao hitaji kufanya application za mikopo kwa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2018/2019
Kutokana na kuwepo kwa changamoto nyingi katika kufanya application mimi kama mdau wa elimu ningependa kushirikiana na wadau wa elimu wenzangu katika kutatua changamoto hizi za hapa na pale
hivyo ukiwa kama ni MTU unae tarajia au unafanya application kwa wakati huu na umekumbana na changamoto zozote usisite kuuliza swali lolote kuhusu kufanya application application na vipengele vyote vinavyohusu application za mkopo elimu ya juu
Pia kama kutakuwa na uhitaji wa usaidizi wa ana kwa ana pia napatikana nipo dar es salaam (chuo kikuu cha dar es salaam) weekend (kuanzia ijuumaa SAA 4 asbh hadi jumapili usiku mahali popote na wakati wowote naweza fika kwa msaada zaidi)
Nakaribisha maswali kuhusiana na kufanya application za mikopo elimu ya juu.
NAKARIBISHA MASWALI KUHUSIANA NA APLICATION ZA MIKOPO ELIMU YA JUU