Hawa ni wajanja wa mjini wenye profit motive! Dont ever dare to take your car to these people. Utakonda ndani ya siku mbili wakianza kukudai na kutishia kuuza gari lako! Wana sura mbili hawa. Sura ya kukukopesha ni tofauti kabisa na wakati wa kudai! Sina ham nao kabisa...
Well; do not react to colleagues who don't share your ideology. You either answer them calmly or just keep quite. BTW mimi sihitaji mkopo, at least for now I'm financially composed.
Jamani msijaribu wa vijana kumbe nawajua sana wanakaa Temeke mtaa wa Boko kijiwe chao kinatazamana na ofisi ya selikali ya mtaa hawafai ni matapeli watu wengi wamelia na hawa vijana mikataba yao ni kuwa ile dhamana uliyoweka iwe gari au kiwanja usipolipa baada ya mwezo mmoja ulichoweka kinakuwa cha kwao halafu mbaya zaidi hawa vijana ni washirikina hatari wakikukopesha hiyo pesa yao basi mambo yako yote yatafail kiajabuajabu ukifika mwezi tu mari yako imekwenda.yani msijaribu wakuu hawa madogo kiufupi ni matapeli sana msijaribu kuwafata mtalia kwa wasioujua mtaa wa Boko upo nyuma ya mtaa wa Wailes nawajua sana hawa matapeli