Mikopo kwa vyuo vya diploma

Mikopo kwa vyuo vya diploma

Swali lako sidhani kama limeeleweka, ila kama ndo ulikusudia ulichokiuliza.Kwa uzoefu wangu HESLB wanatoa kwa bachelor pekee.
 
Msaada jamani kunamkopo wa diploma kutoka bodi ya mikopo
Diploma wanakuwa sponsored n serikali only kwa technical colleges ( must,dit, atc n dwmi)...na kuwa sponsored sio kukopeshwa

wanaokopeshwa ni wale waliotoka direct form 4 bila access course(foundation course).... japo zamani kuna some of access course members walikuwa sponsored..... hapo unapata pesa ya field, ada pungufu, n (chakula n malazi bure)
 
Back
Top Bottom