Kama mzigo unao na msimu wa sikukuu unakaribia, logic ya kukopa ni Nini? Au huenda sijaelewa! Si uendelee na mzigo uliopo hata kama ni Mdogo?! Kuliko kujiingiza kwenye madeni zaidi? Hili nalo ni la kushauriwa? Au Kuna taarifa hujaitoa?nikomae na huu mzigo uliopo dukani
Mzigo upo kiasi ila mali iliyopo nyingi ni ile ambayo kuenda kwake ni mdogo mdogo sana. Sasa nilishauriwa nichukue mkopo niweke na mali zinazokwenda kwa kasi nipige msimu huu wa sikukuu niweze kupunguza madeni. Sasa Mimi nimesita kidogo kwasababu majukumu ni mengi yanayonikabili na ya lazima madeni yamekuwa makubwa.Kama mzigo unao na msimu wa sikukuu unakaribia, logic ya kukopa ni Nini? Au huenda sijaelewa! Si uendelee na mzigo uliopo hata kama ni Mdogo?! Kuliko kujiingiza kwenye madeni zaidi? Hili nalo ni la kushauriwa? Au Kuna taarifa hujaitoa?
Madeni ni makubwa kuliko mtaji paka Sasa hivi
Asante sana kwa mawazo mazuriUsiongeze deni. Kama huko na assets zako uza ili uongezee mtaji kwenye mzigo unaotembea.
Au huo mzigo usiotembea uza katika faida ndogo au uza pasipo faida ili uweke iyo bidhaa unayoamini wewe inatembea.
Unaweza pia uza kwa hasara ila hasara isiwe kubwa. Iwe inakaribiana na ongezeko la riba kwenye mkopo unaochukua. Kuliko kua na mkopo bora uwe na pesa yako mwenyewe ya kuanzia upambanaji.
Mfano unataka kopa 1M kwa malipo pamoja na riba 1.2M.
Vyema ukauza mzigo wako usiotembea ukukate walau hasara ya 100,000 ila isiyozidi au kukaribia riba
Sasa ukiwa na pesa inayozidi Mkopo unaenda kukopa ili iweje kama upo kwenye biashara za kati au hizi ndogo.Mkopo Ni mzuri ukiwa na pesa yako inayozidi mkopo
"Mzigo" ni relative term....Mzigo upo kiasi ila mali iliyopo nyingi ni ile ambayo kuenda kwake ni mdogo mdogo sana Sasa nilishauriwa nichukuwe mkopo niweke na mali zinazokwenda kwa kasi nipige msimu huu wa sikuuu niweze kupunguza madeni Sasa Mimi nimesita kidogo kwasababu majukumu ni mengi yanayonikabili na yalazima madeni yamekuwa makubwa
Ndio naomba ushauri nichukuwe hiyo milioni niongeze mali dukani au nikomae tu
Kukopa ni roho, hii roho ikikuingia lazima ufilisike. Hii roho inaitwa Behemoth, haishibi. Ina fanyakazi ya kufilisi, roho hii na Dagon ndizo zinazoachilia madeni. Leviathan ndiye roho aliyetumwa⁵ kumfilisi Ayubu.Jamani naombeni ushauri nimekopa kwa watu binafsi na tasisi za kifedha paka sasa na Deni langu limepanda sana na kufika 7700000 milioni Saba na laki Saba
Mzigo dukani kwangu upo ila siyo mkubwa kwaida Sasa nimemuomba rafiki yangu ushauri jinsi ya kupata pesa niweke mzigo ili nizungushe kipindi hiki cha sikukuu
Kanishauri niende kwenye tasisi moja nikupe milioni moja niweke mzigo dukani kisha nirejeshe na kupunguza madeni
Nimewaza na hali yangu ya madeni nikiongeza tena madeni nitatoboa kweli
Najua huku jamii forum Kuna watu waliopitia shida Kama hizi zangu naombeni ushauri nichukuwe hiyo milioni au nikomae na huu mzigo uliopo dukani
Kabisa, inashauriwa at least iwe 2:1.Yani uwe na vyanzo viwili au asset mbili na liability moja hiyo ni minimum otherwise utakuwa una operate in financial ICU zone.Mkopo Ni mzuri ukiwa na pesa yako inayozidi mkopo