Ukisoma kitabu Chao
Kinasema
Kipaumbele kwa watakaopata mkopo ni MD, nursing, mid wife na walimu wa masomo ya sayansi
Waliopata daraja la kwanza na la pili
Na wamesema watatoa mkopo kadri ya pesa itakayotengwa
Hivyo bora uombe tu, kuliko kutokuomba
Mungu ni mkubwa anaweza kutenda miujiza
Japo serkal hii haifati kanuni wala sheria