Nilishapiga mwezi mzima hapo ila ujiji semegi yangu nilipapenda sana kuliko Mwanga na Kigoma town kule Uhindini .
Ujiji pako kihistoria zaidi, majengo ya kale mengi hayajabadilishwa.
asante, ila mpunga mie nalima mwenyewe.....
ila mwaka huu sijalima hivyo nitumie mchele kwa bus.
Hahahaaaaa kwa wake huko lolHaha..hii mikoa ya kanda za ziwa balaa tu.
Hehe..katonga ni kwa wakwe au ex...nimwambie ushaoa??!
Naenda kusema kwa dada..kusemaa...
Mtoto huishi shauzi ?
Mara nalima mwenyewe! Mara ntumie ! Mara nanihii !
Sijui unaumauma na kucha?
Kauka basi ! Ntakua sikununulii mishkaki !
Ohooo!
Hebu sema nae huyu BT anatusumbua sana Chtcht!
Mara atuvalie bana- nyonyo ile ya Aisha Mashauzi!
Mtoto anavitukoje?
Semea tu shemeji yako sina macho ya nje kama Erick52 !
Nna macho ya ndani kwa Beibe baaaas!
Nnautunza mshumaa wake kiukweee.
Ageuke ili iweje BADILI TABIA ?
Kua uyaone si maghorofa ndiyo hayo ya KIGOMA. Toka Mbeya~Arusha kwa basi unafika siku hiyo hiyo si Kigoma!