Wadau niaje?
Katika pilika pilika zangu za maisha nimefika mikoa tofauti ya nchi hii kubwa sana, na katika mikoa hii mingi haina Traffick light za kuongozea magari katika makutano..
Na hata Dar es salaam nyingi zimejengwa mwaka jana hasa hasa wilaya ya temeke ndipo kulikuwa hakuna kabisa na kuna sehemu mpaka leo hakuna..
Kinachonishangaza ni kitendo cha STRABAG wakishirikiana (project consultant wao SMEC ) ambazo ni kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania kuharibu traffick light za ubungo, shekilango, magomeni, fire, Akiba, bila mpangilio maalumu wa kuzihamisha zikafungwe sehemu zingine zinazohitajika badala ya kuzitelekeza zikininginia ovyo ovyo..
Na je serikali hawalioni hili, au hizi lights haziruhusiwi kuwa re use.. Maana Arusha, Tanga, Moro, Mwanza kuna sehemu nyingi zinazohitaji Taa za barabarani lakini hakuna za kutosha, nazani wangeenda kuzifunga huko..
Au wadau mnaonaje?
Hiyo si kweli.
Hiyo si kweli.
hahaha umeanza,funguka tuujue ukweli
Strabag ni moja katika kampuni kubwa duniani za "ujenzi" lakini si "kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania".
Soma hapa utazijuwa tu zilizowahi kufika kwetu kabla ya Strabag na zingine bado zipo Tanzania:
The Top 250 International Contractors | ENR: Engineering News Record | McGraw-Hill Construction
Dada mbona huweki maelezo yaliyonyooka, au umekuja tu kubishana kama ccm na chadema,, ungesema tu strabag sio kampuni kubwa iliyokuja Tanzania, ila kampuni kubwa ni xxxxx na ilifanya project xxxxx wote tungekuelewa,,
But unazunguka sana bila sababu za msingi, sema ni kampuni gani inayomzidi Strabag na SMEC nguvu iliyofika Tanzania kufanya kazi.
Kumbuka hapa tunaongelea kampuni mbili STRABAG na SMEC.. Nitajie wenye nguvu kiliko hawa wawili waliowahi kufika Tanzania kufanya kazi. Maana tumezoea kuona wachina tu toka enzi za nyerere,
Tunaomba ukweli tafadhali kwa kutaja hizo kampuni
[h=1]Top Ten [/h] [h=1]Top ten: Construction companies[/h] We count down the top ten construction giants in today's markets, with the Chinese leading the charge
Tanzania: China Communications Construction
Source: Top ten: Construction companies - Construction Digital
Bouygues ya Ufaransa nayo imeshawahi kuwapo Tanzania.
Skanska nayo imeshawahi kuwapo Tanzania.
Source: Pictures: The 25 biggest contractors in the world | United Arab Emirates | Construction | ArabianIndustry.com
Strabag ni moja katika kampuni kubwa duniani za "ujenzi" lakini si "kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania".
Soma hapa utazijuwa tu zilizowahi kufika kwetu kabla ya Strabag na zingine bado zipo Tanzania:
The Top 250 International Contractors | ENR: Engineering News Record | McGraw-Hill Construction
Walikuwepo Tanzania wanafanya project gani?
Au walikuja kujenga lumumba, jengo la chama chetu kile?
Kuna sheria ya manunuzi ya mali za uma huwezi kufanya kitu kama hicho eti utoe skrepa Dar zikafungwe mkoani never na hata hapa zitakuja kufungwa nyingine mpya kabisa