Mikoani hakuna Traffick Light, Strabag wanaziharibu Ubungo (BRT System) kwa nini zisi

MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,163
Likes
1,005
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,163 1,005 280
Wadau niaje?

Katika pilika pilika zangu za maisha nimefika mikoa tofauti ya nchi hii kubwa sana, na katika mikoa hii mingi haina Traffick light za kuongozea magari katika makutano..

Na hata Dar es salaam nyingi zimejengwa mwaka jana hasa hasa wilaya ya temeke ndipo kulikuwa hakuna kabisa na kuna sehemu mpaka leo hakuna..

Kinachonishangaza ni kitendo cha STRABAG wakishirikiana (project consultant wao SMEC ) ambazo ni kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania kuharibu traffick light za ubungo, shekilango, magomeni, fire, Akiba, bila mpangilio maalumu wa kuzihamisha zikafungwe sehemu zingine zinazohitajika badala ya kuzitelekeza zikininginia ovyo ovyo..

Na je serikali hawalioni hili, au hizi lights haziruhusiwi kuwa re use.. Maana Arusha, Tanga, Moro, Mwanza kuna sehemu nyingi zinazohitaji Taa za barabarani lakini hakuna za kutosha, nazani wangeenda kuzifunga huko..

Au wadau mnaonaje?
 
L

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
278
Likes
14
Points
35
L

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
278 14 35
Nadhani thamani yake itakuwa imefikia Tsh 1, kwa hiyo kiserikali hazina thamani tena.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,376
Likes
29,305
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,376 29,305 280
Wadau niaje?

Katika pilika pilika zangu za maisha nimefika mikoa tofauti ya nchi hii kubwa sana, na katika mikoa hii mingi haina Traffick light za kuongozea magari katika makutano..

Na hata Dar es salaam nyingi zimejengwa mwaka jana hasa hasa wilaya ya temeke ndipo kulikuwa hakuna kabisa na kuna sehemu mpaka leo hakuna..

Kinachonishangaza ni kitendo cha STRABAG wakishirikiana (project consultant wao SMEC ) ambazo ni kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania kuharibu traffick light za ubungo, shekilango, magomeni, fire, Akiba, bila mpangilio maalumu wa kuzihamisha zikafungwe sehemu zingine zinazohitajika badala ya kuzitelekeza zikininginia ovyo ovyo..

Na je serikali hawalioni hili, au hizi lights haziruhusiwi kuwa re use.. Maana Arusha, Tanga, Moro, Mwanza kuna sehemu nyingi zinazohitaji Taa za barabarani lakini hakuna za kutosha, nazani wangeenda kuzifunga huko..

Au wadau mnaonaje?
Hiyo si kweli.
 
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
3,322
Likes
1,024
Points
280
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
3,322 1,024 280
Kuna sheria ya manunuzi ya mali za uma huwezi kufanya kitu kama hicho eti utoe skrepa Dar zikafungwe mkoani never na hata hapa zitakuja kufungwa nyingine mpya kabisa
 
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,173
Likes
653
Points
280
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,173 653 280
Kweli ni ipi FF?
 
Nahonyo

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Messages
3,371
Likes
1,581
Points
280
Nahonyo

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2012
3,371 1,581 280
Ujue mali yeyote iliopo barabani kwa sasa ni mali ya kampuni hiyo ya ujenzi, mpaka watakapo kabidhi. serikali wengelijua hilo wangeondoa kabla hajampa kazi huyo mjezi.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,376
Likes
29,305
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,376 29,305 280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,163
Likes
1,005
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,163 1,005 280
Strabag ni moja katika kampuni kubwa duniani za "ujenzi" lakini si "kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania".

Soma hapa utazijuwa tu zilizowahi kufika kwetu kabla ya Strabag na zingine bado zipo Tanzania:

The Top 250 International Contractors | ENR: Engineering News Record | McGraw-Hill Construction
Dada mbona huweki maelezo yaliyonyooka, au umekuja tu kubishana kama ccm na chadema,, ungesema tu strabag sio kampuni kubwa iliyokuja Tanzania, ila kampuni kubwa ni xxxxx na ilifanya project xxxxx wote tungekuelewa,,

But unazunguka sana bila sababu za msingi, sema ni kampuni gani inayomzidi Strabag na SMEC nguvu iliyofika Tanzania kufanya kazi.

Kumbuka hapa tunaongelea kampuni mbili STRABAG na SMEC.. Nitajie wenye nguvu kiliko hawa wawili waliowahi kufika Tanzania kufanya kazi. Maana tumezoea kuona wachina tu toka enzi za nyerere,

Tunaomba ukweli tafadhali kwa kutaja hizo kampuni
 
[h=1]Top Ten [/h] [h=1]Top ten: Construction companies[/h] We count down the top ten construction giants in today's markets, with the Chinese leading the charge

Tanzania: China Communications Construction

Source: Top ten: Construction companies - Construction Digital

Bouygues ya Ufaransa nayo imeshawahi kuwapo Tanzania.

Skanska nayo imeshawahi kuwapo Tanzania.

Source: Pictures: The 25 biggest contractors in the world | United Arab Emirates | Construction | ArabianIndustry.com
 
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,163
Likes
1,005
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,163 1,005 280
[h=1]Top Ten [/h] [h=1]Top ten: Construction companies[/h] We count down the top ten construction giants in today's markets, with the Chinese leading the charge

Tanzania: China Communications Construction

Source: Top ten: Construction companies - Construction Digital

Bouygues ya Ufaransa nayo imeshawahi kuwapo Tanzania.

Skanska nayo imeshawahi kuwapo Tanzania.

Source: Pictures: The 25 biggest contractors in the world | United Arab Emirates | Construction | ArabianIndustry.com
Walikuwepo Tanzania wanafanya project gani?

Au walikuja kujenga lumumba, jengo la chama chetu kile?
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,213
Likes
292
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,213 292 180
issue hapa sio kampuni kuwa kubwa au sio kubwa
issue hapa ni kwanini waharibu taa badala ya kuzitoa kistaarabu zikafungwe pengine
ndio point ya muhimu......

Strabag ni moja katika kampuni kubwa duniani za "ujenzi" lakini si "kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania".

Soma hapa utazijuwa tu zilizowahi kufika kwetu kabla ya Strabag na zingine bado zipo Tanzania:

The Top 250 International Contractors | ENR: Engineering News Record | McGraw-Hill Construction
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,376
Likes
29,305
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,376 29,305 280
Walikuwepo Tanzania wanafanya project gani?

Au walikuja kujenga lumumba, jengo la chama chetu kile?
Kale ka eyapoti kenu unajuwa kalijengwa na nani? ukipata jibu utakuwa umesha jijibu.

Unajuwa Uwanja wenu wa Taifa kwa sasa umejengwa na kampuni gani? ukipata jibu hautoniuliza tana.

Unajuwa kabomba kenu kakupeleka mafuta kutoka Dar kwenda Zambia kalijengwa na nani? kafanye homework.
 
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
759
Likes
520
Points
180
Age
62
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
759 520 180
Wewe mkata kiu kweli ni ----- namba moja duniani,Strabag ndio wako kazini wanajenga barabara.Ni lazima kama unavyoona wabomoe ya zamani kwanza.Nguzo za umeme,mabomba ya maji taka na safi, traffic light na mengineyo lazima wabomoe kwaza ndio wajenge upya.Mh.Kata kiu naona ulikuwa unaota unaandika mada!!!.
 
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
3,019
Likes
332
Points
180
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
3,019 332 180
Ameshajibiwa kua sheria ya manunuzi kwa mali za umma hairuhusu.
 
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,650
Likes
690
Points
280
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,650 690 280
Kuna sheria ya manunuzi ya mali za uma huwezi kufanya kitu kama hicho eti utoe skrepa Dar zikafungwe mkoani never na hata hapa zitakuja kufungwa nyingine mpya kabisa

Neno skrepa unalitumia vibaya, sheria inazuia kununua used items, mleta mada anaongelea kuhamisha na siyo kununua.
 
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,306
Likes
128
Points
160
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,306 128 160
kuna watu wanpenda kubishana, yani inabdi wafunguliwe jukwaa lao la pekee, "liitwe jukwaa la ubishi" maana jukwaa la siasa peke yake haliwatoshi !
 
Forum statistics

Threads 1,250,621
Members 481,419
Posts 29,739,077