MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,841
- 6,109
Wadau niaje?
Katika pilika pilika zangu za maisha nimefika mikoa tofauti ya nchi hii kubwa sana, na katika mikoa hii mingi haina Traffick light za kuongozea magari katika makutano..
Na hata Dar es salaam nyingi zimejengwa mwaka jana hasa hasa wilaya ya temeke ndipo kulikuwa hakuna kabisa na kuna sehemu mpaka leo hakuna..
Kinachonishangaza ni kitendo cha STRABAG wakishirikiana (project consultant wao SMEC ) ambazo ni kampuni kubwa za ujenzi kuliko zote zilizowahi kufika Tanzania kuharibu traffick light za ubungo, shekilango, magomeni, fire, Akiba, bila mpangilio maalumu wa kuzihamisha zikafungwe sehemu zingine zinazohitajika badala ya kuzitelekeza zikininginia ovyo ovyo..
Na je serikali hawalioni hili, au hizi lights haziruhusiwi kuwa re use.. Maana Arusha, Tanga, Moro, Mwanza kuna sehemu nyingi zinazohitaji Taa za barabarani lakini hakuna za kutosha, nazani wangeenda kuzifunga huko..
Au wadau mnaonaje?