Kwa comment hii nakubali Kuna jamaa nilikua na piga naye kazi njombe huko aliniambia mke wake kilasiku anamuuliza kuwa yupo nje ya nchi au maana alikua anatuma pesa nyingi sana huko kwao kagera maana pesa aliyokua anaipata njombe ni ngumu sana kuipata kagera