Mikoa kinara kwa Wizi wa Umeme

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
2,264
4,702
Katika Africa mashariki Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kupoteza mapato ktk Nishati ya Umeme kwa sababu ya Uwizi uliokithiri na miundombinu iliyochoka.
Tanzania inakadiriwa kupoteza kiasi cha bil 20 na zaidi kila mwezi kutokana na Uwizi na uchakavu wa miundo mbinu.

Imebainishwa katika mikoa 29 ya kitanesco , mikoa ifuatayo ndo inaongoza kwa uwizi uliokithiri wa Umeme.

1.Dar Es salaam - huu ni mkoa unaongoza, uwizi ni mkubwa hasa katika viwanda na watumiaji wakubwa na wadogo wa umeme

2. Arusha - uwizi umekithiri sana, na hata wezi wanajulikana lakini inasemekana wanaogopwa.

3.Kilimanjaro - Kesi za kukamatwa wezi wa umeme hazisikiki, lakini uwizi ni mkubwa sana na wa kutisha.

4. Mwanza- inaongoza kuwa na vishoka wengi na uwizi ni mkubwa, huko kila mtu ni fundi umeme.

5. Morogoro- shamba la bibi.

RAI - Serikali inapaswa kuweka sheria kali kwa wezi wa umeme, ikiwezekana hata nyumba au viwanda wanavomiliki wezi vitaifishwe. Uwizi huu ukiendelea baada ya miaka 10 Tanesco itakuwa imekufa
 
Du jipu hlo
 
Back
Top Bottom