Mikoa inayoongoza wapenzi bila ndoa

palangana

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
506
Reaction score
450
Hii ndo mikoa inayoongoza kwa watu wanaoishi kwenye mahusiano bila ndoa.

Source: Millard Ayo ~twitter
 
Come and we stay can be done when you two are away from home, forestance you met each other in South Africa and you have intention and f getting married in the future. You can cohabit to save rent but cohabiting in Tanzania I find it to be disrespectful.
 
Hivi tafiti inawalakini wachache hivyoo?
 
Hebu tafsiri kwa kiTaifa chetu tafadhali🤔
 


That's your opinion.
 
Hii ndo mikoa inayoongoza kwa watu wanaoishi kwenye mahusiano bila ndoa.

Source: Millard Ayo ~twitterView attachment 921222
What is ndoa kwanza?!!!! Ndoa makubaliano bana, hao wanaokaa pamoja ni ndoa hiyo, tatizo watu wanadhani ndoa na harusi ni kitu kimoja, mi niko na mke tunaishi, sipendi sherehe ko harusi hainifai lakini ndo wangu
 
Leo umeniacha mbali
 
Bongo ni presumtion of marriage mkuu
 
wanaume wa Dar wapo legelege sana. Hadi kwenye kuoa??.
 
Hii ndo mikoa inayoongoza kwa watu wanaoishi kwenye mahusiano bila ndoa.

Source: Millard Ayo ~twitter
View attachment 921222
DAR ES SALAAM ITABAKI KUWA KILELENI MAANA UMATI WAKE WA RAIA NI MKUBWA SANA, BADO WANAONGIA DAR (DSM) KILA KUKICHA AWE MTANZANIA WA NDANI NA WAGENI WA KIMATAIFA AMBAO WANAJAMIANA NA RAIA WA NDANI. AISEE NI UMEME SANA!!!! THAT'S WHY MAGOJWA YA MILIPUKO YANAUMIZA SANA MKOA WA DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…