MAHELO. E.B Member Joined Aug 13, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Sep 25, 2013 #1 Mikataba mbalimbali inayosainiwa na viongozi wetu hapa nchini ipo kwa masilahi ya viongozi wenyenyewe au kwa masilahi ya wananchi? Na kama ni kwa masilahi ya sisi wananchi, kwa nini mikataba hiyo haiwekwi kwenye magazeti ya serikali ili nasi wananchi tukaisoma na kuielewa vizuri kabla ya kusainiwa?
Mikataba mbalimbali inayosainiwa na viongozi wetu hapa nchini ipo kwa masilahi ya viongozi wenyenyewe au kwa masilahi ya wananchi? Na kama ni kwa masilahi ya sisi wananchi, kwa nini mikataba hiyo haiwekwi kwenye magazeti ya serikali ili nasi wananchi tukaisoma na kuielewa vizuri kabla ya kusainiwa?
M mshunami JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,945 Sep 26, 2013 #2 Mkataba ni siri kati ya wawekezaji na mafisadi ndani ya serikali!!
M mshunami JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,945 Sep 26, 2013 #3 Mkataba ni siri kati ya wawekezaji na mafisadi ndani ya serikali!! Ndio maana tunahitaji Katiba mpya itakayorekebisha mambo hayo na ndo maana ccm inapiga vita sana vipengele vya maadali, uwazi, ukweli visiwepo katika katiba mpya!
Mkataba ni siri kati ya wawekezaji na mafisadi ndani ya serikali!! Ndio maana tunahitaji Katiba mpya itakayorekebisha mambo hayo na ndo maana ccm inapiga vita sana vipengele vya maadali, uwazi, ukweli visiwepo katika katiba mpya!