Mikasa/vituko vya lodge

Nilichogundua, mikoani huko ndani ndani wilayani hakuna lodge ya maana/yenye hadhi zipo chache Sana, mtu inabidi kushukia kwenye hayo hayo mazingira ,,, ndio maana unakumbana na hizi kadhia !

Ukisoma michango mingi ya wadau utagundua Ni huko ndani ndani Sana,,, ! Tanzania yetu Bado Sana kimaendeleo ! Huduma Bora na za msingi zipo mijini tu
 
 
Hapo kwa kiziwi
 
Hiyo lodge ina vibaka, mlinzi anaanzaje kuingia na kupekenyua vitasa
 
 
 
dah hatari sana
 
Nilienda lodge moja Tanga, sasa ile kufika akaja jamaa na dem(sijui mke wa mtu yulee)..
Sasa dada akawa anatuonesha chumbaa...
Ile amefungua chumba cha kwanza jamaa bila hata kukiangalia akamvuta dem wake na kubamiza mlango kwa kunyanduanaa


Nilicheka sana, yani mwamba alikua anaona tunamcheleweshaa....au sijui alikua ashameza viagra yulee??
 
Watu wanatumia sungura na kasongo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…