HIYO YOTE NI KWA USALAMA WAO SIO TATIZO .. NA NYIE TRAFIC MNATAKIWA MKAGUE GARI KUANZI UBUNGO NA VITUO VYOTE VYA MABASI YANAPOONDOKA KAMA YAKO SALAMA SIO TU MABARABANI
speed jamani speed inatumaliza ..
Hayo mabasi yasiyo na mikanda jana yalizuiwa Ubungom, naona leo walikata kidogodogo wakaachiwa waendelee na safari lakini wa Kibaha nao wameamua kukomaa nao... Polieni maana najua mtasota kidogo